1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.02.2022 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

22 Februari 2022

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binaadamu yupo nchini Sudan kuhakiki tuhuma za ukiukwaji zilizofanyika baada ya mapinduzi ya kijeshi ya Oktoba ambayo yalilitumbukiza taifa hilo katika ghjasia na kusababisha maandamano ya karibu kila siku.

https://p.dw.com/p/47OMx