Watu mbalimbali wamemkosoa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kwa madai yake kuwa hisia za kikabila ndizo ziliongoza maamuzi ya waliompigia kura mpinzani wake Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine// Uingereza yapiga marufuku wasafiri kutoka Tanzania na kutoka DRC// Utekelezaji wa rasimu ya kwanza kabisa inayopiga marufuku silaha za Nyuklia unaanza Ijumaa.