1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.11.2019 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S21 Novemba 2019

Rais wa mpito wa Bolivia amewasilisha muswada bungeni wa kuitisha uchaguzi nwingine. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga sera ya ujenzi wa makaazi ya walowezi katika ardhi ya Palestina. Shambulizi la vikosi vya serikali ya Syria limewauwa watu 15 kwenye jimbo la Idlib.

https://p.dw.com/p/3TQXS