Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO wanatarajiwa kukubaliana baadaye leo+++Waziri Mkuu wa Libya Abdulhamid Dbeibah ameunga mkono wazo la kuandaliwa kwa uchaguzi wa kitaifa mnamo Disemba 24+++Mtu mmoja amekufa na wengine wasiopungua 80 wamejeruhiwa katika maandamano ya kuunga mkono demokrasia.