Mamia ya malori yaliyosheheni bidhaa yamekwama katika bandari nchini Sudan, makontena kadhaa yako bandarini hapo yakiwa hayajaguswa+++Maandamano mapya yaliyojawa vurugu yameanza tena kushika kasi katika taifa pekee la utawala wa kifalme usiofuata katiba barani Afrika la Eswatini+++Urusi yaialika Taliban kwa mazungumzo ya NATO.