1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.05.2016: Matangazo ya Mchana - Saa 7:00 Afrika Mashariki

SK2 / S02S21 Mei 2016

Shirika la uchunguzi wa ajali za angani la Ufaransa limesema ndege ya Misri iliyoanguka ilituma ujumbe uliyoashiria kutokea moshi ndani, Ripoti ya haki za binaadamu ya Umoja wa Afrika imetoa wito wa kupeleka polisi wa kimataifa nchini Burundi.Rais wa Tanzania amemfuta kazi waziri wa mambo ya ndani kwa kuingia bungeni akiwa amelewa.

https://p.dw.com/p/1IsEu