1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kikosi cha anga Uturuki kimeshambulia eneo la Kikurdi.

21 Machi 2021

Kikosi cha anga Uturuki kimeshambulia eneo la Kikurdi. Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa yakosoa uamuzi wa Erdogan. Maelfu ya Waisraeli waandamana kumtaka Netanyahu andoke madarakani.

https://p.dw.com/p/3qvIe