1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.02.2022 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

21 Februari 2022

Mpinzani anaeongoza nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa amevuta hisia za wengi katika mkutano wake wa kwanza wa hadhara, tangu aunde chama kipya majuma kadhaa yaliopita, wakati huu taifa hilo likiwa katika maandalizi ya chaguzi ambazo zimeahirishwa kwa mara kadhaa kutokana na janga la Covid-19.

https://p.dw.com/p/47KGb