Kamati kadhaa za bunge nchini Kenya zimeanza mchakato wa kuwachuja makatibu 7 wa wizara na mabalozi walioteuliwa siku chache zilizopita // Mmojawapo wa wasiri wakubwa wa waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amekiri kutoa ushahidi dhidi yake katika mojawapo ya orodha ndefu ya madai ya rushwa