Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania (TCRA) imeanza kuzifunga laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole/ Mkutano wa uchumi wa dunia waanza Davos/ Takriban watu nusu bilioni hawana kazi nzuri ulimwenguni: UN/ Magavana na wabunge ambao wanaandamwa na kesi au tuhuma za uhalifu wa aina yoyote watapokonywa walinzi na silaha