Mwanaharakati Greta Thunberg atahuhuduria kongamano la uchumi wa dunia mjini Davos pamoja na rais wa Marekani/ Utafiti mpya: Moja kati ya wasichana watatu kutoka katika familia masikini duniani kote hawajawahi kwenda shule/ Wawakilishi wa wizara za kazi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na eneo la Pembe ya Afrika wanakutana jijini Nairobi kujadili mbinu mwafaka za kuleta uwiano kwenye sekta hiyo,