Siasa20.09.2018 Matangazo ya JioniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSK2 / S02S20.09.201820 Septemba 2018Huko nchini Tanzania, Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Kisiwa cha Ukara mkoani Mwanza na Bugorora katika Ziwa Victoria, kimezama leo mchana kikiwa na abiria ndani. Hadi sasa kiasi ya watu watano wamethibitishwa kufariki dunia.https://p.dw.com/p/35GEYMatangazo