Mexico: Tetemeko la ardhi/ Kenya: Mahakama ya Juu inasoma ufafanuzi wa hukumu yake ya kuufuta uchaguzi wa rais nchini Kenya wa Agosti 8/ CHADEMA wameamua kufikisha malalamiko yao kwenye jumuiya za kimataifa dhidi ya serikali ya Tanzania kufuatia kupigwa risasi kwa mbunge wao /Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Hotuba ya Trump imeendelea kuibua mijadala