1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.08.2022 Matangazo ya Jioni

Hawa Bihoga20 Agosti 2022

Vikosi vya Urusi vyazidisha mashambulizi kuteka miji ambayo haipo chini ya udhibiti wake ++ Olaf Scholz amsifu mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji wa wazi wa rais Putin ++ Taiwan yathibitisha china kuendelea na na shughuli za kijeshi karibu na kisiwa hicho

https://p.dw.com/p/4FpDV