Mzozo wa kisiasa uliokikumba chama cha Upinzani nchini Tanzania cha CUF > Mahojiano na Zitto Kabwe/ Jeshi la Algeria limetangaza kuwa wananchi wa nchi hiyo wameelezea ''malengo mazuri'' wakati wa wiki kadhaa za maandamano dhidi ya Rais Bouteflika/ Mahakama ya UN yamfunga Radovan Karadzic maisha/ May awasilisha ombi kwa EU kuurefusha mchakato wa Brexit