Waziri Mkuu wa Uingereza amekutana na viongozi wa mataifa 16 ya Afrika/ Mawaziri wa mambo ya kigeni EU wajadili kuhusu amani Libya/ Ripoti ya Oxfam: Wanawake hufanya kazi bure wakati mabilionea wakiongeza utajiri/ Binti ya rais wa zamani wa Angola anatuhumiwa na shirika la ICIJ, "kuhamishia nchi za nje mamilioni kwa mamilioni ya fedha za umma"