1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.09.2021 - Matangazo ya Mchana

19 Septemba 2021

Australia imeyapinga madai ya kuisaliti Ufaransa kwenye mkataba wa kununua nyambizi za kijeshi. Watawala wa kijeshi nchini Guinea wamekataa shinikizo la kimataifa la kurejesha haraka utawala wa kiraia. Chama tawala Urusi kinatarajiwa kupata ushindi kwenye uchaguzi wa bunge.

https://p.dw.com/p/40Wb5