Idadi kubwa ya Wamarekani wameonyesha mashaka juu ya iwapo vita vya nchini Afghanistan vilikuwa na umuhimu wowote+++WHO yazikosoa nchi tajiri kutoa chanjo ya tatu ya COVID-19+++Wakaazi wa mji wa Goma mashariki mwa Congo wakumbwa na wasiwasi kufuatia ongezeko la vifo kutokana na ugonjwa wa Covid-19, huku kukiwa na uhaba wa chanjo.