Uingereza imeonya kuwa makundi ya al-Qaeda huenda yakapata nafasi ya kujiimarisha tena+++Uturuki kuwa mpatanishi kati ya Ethiopia na Sudan+++Mahakama kuu nchini Kenya imesitisha kwa muda marufuku ya mikutano ya kisiasa kama njia ya kuzuwia corona kusambaa+++Wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya Kiislamu wamedaiwa kuua watu 47 nchini Burkina Faso.