Rais wa Mali ajiuzulu baada ya kukamatwa na wanajeshi waasi/ Hatua ya hivi karibuni ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel imeutikisa ukanda wa Mashariki ya Kati, ikitajwa na Iran kuwa “kosa kubwa”/ Maandamano yanayoendelea nchini Beirut sio ya kwanza dhidi ya kiongozi wa kimabavu Lukashenko. Hata hivyo ni ya kwanza ambapo raia wengi wamejitokeza kuandamana