Ujerumani yatakiwa kujiandaa zaidi dhidi ya majanga/ Waislamu takriban elfu 60 wametekeleza ibada muhimu ya kusimama kwenye mlima wa Arafah hii leo chini ya vizuizi vya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona/ Kampuni ya teknolojia ya ujasusi ya Israel yadaiwa kuwadukua miongoni mwa wengine waandishi habari duniani/ Mazungumzo ya Afghanistan yakamalika Doha bila ufumbuzi