Merkel amemkaribisha Macron kwenye mazungumzo yanayolenga kuimarisha mageuzi yanayoweza kuzuia kusambaratika kwa Umoja wa Ulaya/ Maafisa wa jeshi la Yemen wamesema mapigano makali yameshuhudiwa nje ya uwanja wa ndege wa mji muhimu wa Hodeida/ Bunge la watoto wa shule za msingi limefanyika Dar es Salaam/ Kombe la Dunia 2018