1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.03.2017- Matangazo ya Jioni. Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

19 Machi 2017

https://p.dw.com/p/2ZVgV

Martin Schulz atangazwa na chama cha SPD kuwa mgombea rasmi wa Kansela wa Ujerumani huku akitangaza mwongozo wa sera yake.

Israel yaonya kushambulia mifumo ya jeshi la Syria ikiwa itajaribu kushambulia ndege zake zinazofanya mashambulizi dhidi ya silaha zinazopelekewa kundi la Washia wa Hezbollah

Joackim Gauck akamilisha rasmi hatamu yake kama rais wa Ujerumani