Rais wa Ukraine ameelezea matumaini kuwa hakuna uamuzi wowote kuhusu nchi yake utakaochukuliwa bila kuishirikisha/
UN: Watetezi wa amani wanawake wana hali mbaya kiusalama/ Kenya: Polisi wameanzisha uchunguzi wa kutegua kitendawili cha miili inayotupwa katika Mto Yala> Mahojiano / Hali ya uhaba wa chakula na njaa katika maeneo mbalimbali ya Kenya/ Matajiri waomba kutozwa kodi