1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.11.2017 Matangazo ya Mchana

18 Novemba 2017

Miongoni mwa yaliyomo kwenye taarifa ya habari ni pamoja na:

https://p.dw.com/p/2nrBS

Maelfu ya watu waandamana Harare Zimbabwe kumshinikiza Rais Robert Mugabe kujiuzulu

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akabiliwa na hali ngumu ya uundaji wa serikali

Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu kwake wiki mbili zilizopita awasili Paris kukutana na Rais Macron