Ethiopia: Tume ya Haki za Binadamu imesema vyombo vya dola vimewakamata zaidi ya watu 9,000/ Human Rights Watch limezishutumu mamlaka nchini Misri kuendesha kampeni ya kuwaandama watumiaji mitandao wenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii/ Kenya: Wafanyabiashara wa nguo kuukuu maarufu mitumba wanashusha pumzi baada ya serikali kuiondoa marufuku ya kuiagiza kutoka nje