EU kuwazuia wasafiri wa kigeni ili kukabiliana na COVID-19 / Ujerumani: Kumekuwa na makatazo mapya kila kukicha, pamoja na kubanwa uhuru wa kila mtu. Njia rahisi kwa kila mmoja ni kufuata sheria. Hali hii itaendelea hadi lini?/ Waziri Mkuu wa Pakistan anahofu kuwa virusi vya Corona vitaathiri uchumi wa nchi zinazoendelea