Blinken ameanza ziara yake ya kwanza barani Afrika nchini Kenya/ Wimbi la nne la COVID latishia vizuizi vipya Ujerumani/ Taliban yaiandikia Marekani barua ya wazi kuihimza kuondoa vikwazo/ Utulivu warejea kwenye mpaka wa Poland na Belarus/ China na Marekani zimekubaliana kupunguza vikwazo kwa wafanyakazi wa vyombo vya habari vya kila mmoja wao