Chama cha Kijani nchini Ujerumani kimepiga kura kuidhinisha kujiunga rasmi na mazungumzo ya kuunda serikali mpya ya muungano // Mamia ya waandamanaji wanaounga mkono utawala wa kijeshi Sudan waandamana leo kwa siku ya pili // Na Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis alaani mashambulizi ya Norway, Afghanistan na Uingereza