Mataifa ya Afrika Mashariki yahofia Ebola/ Kenya: Rais Kenyatta amekisuta kikundi kinachoegemea upande wa siasa wa naibu wake Ruto cha Tangatanga na kuwataja kuwa wahalifu wanaopiga siasa, badala ya kutimiza ahadi walizotoa kwa wananchi/ Burundi: Makao makuu ya chama cha upinzani cha CNL yamechomwa moto na watu wasio julikana/ Nchi zenye silaha za nyuklia zinazifanya za kisasa zaidi: SIPRI