1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.04.2023 Matangazo ya Asubuhi

17 Aprili 2023

Takribani watu 83 wamekufa na wengine 1,126 kujeruhiwa baada ya kutokea mapigano makali kati ya jeshi na kikosi maalumu chenye nguvu cha wanamgambo cha Rapid Support Forces, RSF nchini Sudan.

https://p.dw.com/p/4QAjS