1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.03.2022 Taarifa ya habari ya Asubuhi

17 Machi 2022

Mahakama Kuu nchini Cuba imesema kundi la raia 128 wa taifa hilo ambalo lilishiriki maandamano ya kuipinga serikali yao Julai mwaka jana, wamehukumiwa kifungo cha kati ya miaka 6 hadi 30 gerezani.

https://p.dw.com/p/48bHR