Ulimwengu waendeleza juhudi za kuzuia kuenea kwa COVID-19/ Corona: Zanzibar ni sehemu ya dunia ambayo nayo tayari imeanza kuwa na wasiwasi kutokanana na uchumi wake kutegemea zaidi Utalii na Biashara/ Maeneo ya ibada ikiwemo Misikiti na Makanisa, ni baadhi ya sehemu ambazo zimekuwa zikiangaziwa pakubwa katika mchakato wa kudhibiti kuenea kwa homa inayosababishwa na virusi vya Corona.