1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.02.2017: Taarifa ya habari asubuhi

Isaac Gamba
17 Februari 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na: Mawaziri wa nchi za G-20 wanaokutana Bonn watoa mwito wa ushirikiano kukabiliana na migogoro//Mteule wa Rais Donald Trump kujaza nafasi iliyoachwa wazi ya mshauri wa usalama akataa uteuzi huo// na Libya yaomba msaada wa masuala ya ulinzi kutoka NATO.

https://p.dw.com/p/2XkXJ