1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.08.2020 Matangazo ya Jioni

16 Agosti 2020

Rais wa Michel Aoun wa Lebanon amesema uchunguzi kuhusu mlipuko mkubwa uliotokea mapema mwezi huu mjini Beirut na kuwauwa watu 180 na kujeruhi maelfu wengine ni mgumu na huenda hautokamilika haraka.

https://p.dw.com/p/3h37u