Rais Mugabe awekwa katika kizuizi cha nyumbani/ Rais Zuma kama mwenyekiti wa jumuiya ya SADC amesema anatuma ujumbe wa jumuiya huyo kuelekea Zimbabwe/ Kenya/ Ujerumani: Mazungumzo ya kutathmini uwezekano wa kuundwa serikali ya muungano yanakabiliwa na vizingiti vya kila aina/ COP23: Rais wa Ujerumani amesisitiza kuwa nchi zilizoendelea zina wajibu mkubwa wa kuyalinda mazingira