1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.08.2021 Matangazo ya Mchana

15 Agosti 2021

Wanamgambo wa Taliban wameanza kuingia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, baada ya kuidhibiti miji mingine mikubwa nchini humo. Hatua hiyo inatajwa kuwa ishara ya wazi ya wapiganaji hao kulidhibiti kijeshi taifa la Afghanistan, lakini msemaji wa kundi hilo amesema wamewaamuru wapiganaji wake wasiingie katikati ya jiji hilo.

https://p.dw.com/p/3z11K