Uganda- Chama cha People Power chake Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine kimefikia makubaliano ya kuungana na chama chengine cha upinzani FDC chake Kizza Besigye// Maandamano na machafuko yamezuka tena nchini Marekani baada ya Mmarekani mwengine mwenye asili ya Afrika kuuawa na polisi mjini Atlanta// Dhahabu ya DRC yadaiwa kupelekwa Burundi,Uganda,Umoja wa falme za kiarabu na Tanzania.