1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.04.2018- Asubuhi. Taarifa ya habari saa 12:00 (Afrika Mashariki)

15 Aprili 2018

Marekani, Ufaransa na Uingereza, zimeanza jaribio jipya katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchunguza shambulizi la sumu nchini Syria.// Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, amesema ana wasiwasi kuhusu uhusiano unaodorora kati ya Urusi na nchi za Magharibi.//Afisa wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa ameuawa na wanajeshi 10 wamejeruhiwa kufuatia shambulizi kaskazini mwa Mali

https://p.dw.com/p/2w49y