Karibu watu 39 wameuawa kwenye shambulizi la bomu lililoyalenga mabasi yaliyowabeba watu wanaohamishwa kutoka miji ya Syria // Korea Kaskazini imeonya kujibu uchokozi wa Marekani kwa kufanya shambulizi la nyuklia // Umoja wa Mataifa umewahamisha wafanyakazi wake 60 kutoka Sudan Kusini baada ya mapigano kuzuka katika baadhi ya maeneo