Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria vimetimiza miaka 10 hivi leo/ Rais Museveni wa Uganda amepinga kauli za baadhi ya raia wake kwamba taifa hilo lilipize kisasi dhidi ya Kenya kwa kuzuia bidhaa zake kuingizwa kwao/ Vikosi vya usalama Myanmar vyaendeleza matumizi ya nguvu/ Chama cha Christian Democratic Union chapata pigo chaguzi za majimbo/ DRC imeahirisha chanjo dhidi ya Covid-19