1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.12.2023 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

14 Desemba 2023

Tathmini ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa takribani majengo 40,000 au asilimia 18 ya majengo yaliyokuwepo kabla ya kuzuka kwa vita katika Ukanda wa Gaza yameharibiwa katika eneo hilo tangu vita vilipoanza Oktoba 7.

https://p.dw.com/p/4a8GE