Watu 18 wauawa katika shambulio Burkina Faso/ Aliyewahi kuwa naibu kiongozi na msemaji wa kundi kundi la wanamgambo wa Al Shabaab la Somalia amejisalimisha kwa serikali ya nchi hiyo> Mahojiano/ Kenya: Hali katika Nairobi inatajwa kurejea katika ukawaida wake licha ya wito wa kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwataka wananchi kugoma kwenda kazini hivi leo