1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

14 Juni 2021

Viongozi duniani wameendelea kumtumia salamu za pongezi waziri mkuu mpya wa Israel Naftali Bennett. Rais Joe Biden amewasili Brussels kuhudhuria mkutano wa kilele wa Jumuiya ya NATO. Kesi inayomkabili Aung San Su Kyi inaanza kusikilizwa leo nchini Myanmar.

https://p.dw.com/p/3uqa0