1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.01.2017. Matangazo ya jioni

Isaac Gamba
14 Januari 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na: Rais wa Ufaransa Francois Hollande aisifu Mali akisema ni mfano mzuri katika mapambano dhidi ya ugaidi//Chama cha Kansela wa Ujerumani Angela Merkel cha Christian Democrats kimependekeza kuundwa kamati ya uchunguzi dhidi ya maafisa wa usalama waliokuwa wakifuatilia mwenendo wa mshukiwa wa shambulizi katika soko la Krismasi mjini Berlin.

https://p.dw.com/p/2VoWt