Tanzania- Rais John Pombe Magufuli amelihutubia bunge mjini Dodoma na kutishia kuwachukulia hatua kali wale wote watakaojaribu kuvuruga amani ya nchi hiyo// Huko visiwani Zanzibar kuna madai kwamba baadhi ya vijana miongoni mwa wenzao vijana 18 waliokuwa wameripotiwa kutoweka tangu siku ya uchaguzi tarehe 28 Oktoba walipatikana jana.