1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.05.2018: Matangazo ya Jioni

13 Mei 2018

Watu sita wauawa kutokana na mashambulizi nchini Afghanistan, Rais wa Indonesia alaani mashambulizi dhidi ya makanisa nchini humo na rais wa Iran, Hassan Rouhani asema Iran itasalia kwenye mkataba wa nyuklia wa Iran wa mwaka 2015.

https://p.dw.com/p/2xeSm