Mahakama katika mji wa magharibi mwa Ujerumani wa Koblenz, leo imemhukumu afisa wa zamani katika utawala wa Syria adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kumkuta na hatia+++Jumuiya ya kujihami ya Nato na Urusi jana walikaa kwenye meza ya mazungumzo kutafuta ufumbuzi kuhusu suala la Ukraine+++Ripoti ya HRW yasema mustakabali wa madikteta wazidi kufifia.