1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.01.2019: Matangazo ya Mchana

13 Januari 2019

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May awataka wabunge kumuunga mkono kwenye mpango wake wa Brexit, Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran amemuita balozi wa Poland kufuatia tangazo la Marekani kwamba Poland itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa kimataifa kuhusu Iran na Mashariki ya Kati na Kundi lililoandaa maandamano Sudan kwa mara ya kwanza yalihusisha jimbo la Darfur.

https://p.dw.com/p/3BTkL