1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.12.2020 - Matangazo ya Asubuhi

12 Desemba 2020

Uingereza imetangaza kusitisha ufadhili kwa sekta ya mafuta ya petroli. Ethiopia imesema inawarudisha wakimbizi wa Eritrea kwenye kambi za jimbo la Tigray. ICC itaanzisha uchunguzi wa uahalifu wa Boko Haram na vikosi vya usalama vya Nigeria.

https://p.dw.com/p/3mboH